Joel 3:18


18 a“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya,
na vilima vitatiririka maziwa;
mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji.
Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana
na kunywesha Bonde la Shitimu.
Au: Bonde la Migunga .

Copyright information for SwhKC